TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

NAMBA ZA USAJILI KLR 742

NAFASI YA KAZI YA MENEJA MKUU

TAI SACCOS inawatangazia Watanzania wenye sifa kujaza nafasi ya kazi ya Meneja Mkuu kwa ajili ya kusimamia na kuendesha shughuli zinazohusiana na ushirika wa akiba na mikopo.

SIFA NA UJUZI

VIAMBATANISHO

Barua za maombi ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili na zielekezwe kwa:

Mwenye kiti wa Bodi,
TAI SACCOS,
SLP 306,
Hai.

Maombi yawasilishwe kupitia barua pepe: ajira@taisaccos.org na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04-09-2025 saa 09:00 jioni.

Kwa maelezo zaidi tupigie +255 763 073 473.

Imetolewa leo tarehe 19-08-2025 na;

________________
Jocye Julius Zabron
Mwenyekiti
TAI SACCOS